1. Wwe World Heavyweight Champion, Na bingwa wa Mkanda huu ni Seth Rollins ambapo kama unakumbuka Rollins aliweza kushinda mkanda hu wa Heavyweight pale ambapo Superstar Brock Lesnar na Roman Reings walipokuwa wakipigana na Seth kuingilia mwisho wa machi hiyo lakini kutokana na sheria za mchezo huo Seth aliweza kushinda.
3. United State Champion, ambaye bingwa wa mkanda huu ni WWE
Superstar John Cena.
5. Divas Champion, na bingwa wa mkanda huu ni mdada ambaye
naye ni machachali sana anaitwa Charlotte, shindano hili ni la wadada.
Hawa ndiyo mabingwa ambao wanaendelea kushikilia mikanda hiyo yote ya World Wrestling Entertainments.