Hii ni blog ambayo inakupa Taarifa na habari Zote Za Kitaifa na za kimataifa Katika Nyanja Zote za kisiasa, Uchumi, michezo na burudani..

Saturday, October 10, 2015

MATUKIO MATATU KATIKA MIELEKA YA WWE AMBAYO SIO YA KWELI.




Baadhi ya wataalamu ambao wanafuatilia burudani za mchezo wa mieleka ya World Wrestling Entertainment (wwe) wameweza kugundua kuwa vitendo vinavyo tendeka katika mchezo huo kuwa sio ya kweli.
Hayo yametokana na mapambano ambayo yamechezwa hivi karibuni hasa hasa kipindim hiki cha mwaka 2015, na kuoneshwa kwamba kila kitu ambacho kinaonehwa au kina tendeka katika mchezo huo ni vitendo ambavyo ni vya maigizo.

Matukio Hayo.

1. Tukio la kwanza ni lile pambano kati ya John Cena, kati ya Sheumans, John Cena na Land Olton, John Cena na The Big Show.
Wwe superstar Big Show (juu) akimpa pigo  John Cena (chini) katika moja ya pambano ambalo wachambuzi hao wameweza kuelezea.
   
Wwe superstar Big Show (kulia) akimpiga kofi la kifua Wwe superstar John Cena katika pambano lililo chezwakatika shindano la Summer Slam.




2.Lakini pia Wachambuzi hao wameweza kuzielezea baadhi ya video ambazo zikionyesha jinsi mchezo huo unavyo tengenezwa na hizi ni baadhi ya hizo link ambazo zinaweza kukupeleka moja kwa moja katika video hizo.

https://www.youtube.com/watch?v=lX1sEVq22go 

Tazama hapa Bg Show alipokuwa akimpiga kichwa John Cena  

1    Na hivyo ndivyo mchezo huo jinsi unavyo kuwa je una maoni yeyote katika mchezo huu wamieleka ya World Wrestling Entertainments.






No comments:

Post a Comment