Chris
Jericho asherehekea miaka 25 katika michezo ya burudani na ‘ wakanada wenzake’
Chris jeriko
ameweza kusherehekea leo tarehe 8 october miaka 25 katika mchezo wa burudani za
mieleka (wwe)tangia ajiunge katika michezo hiyo, akiwa katika kusherehekea
sherehe hizo Jericho a.k.a Y2J alisindikizwa na pambano la Intecontinetal
Champions kati ya Brock Lesnar na The Big Show.
Tazama hapa katika links hizi;Jericho celebrates 25 years:| Live From MSG: Lesnar vs. Big Show on WWE Network
Katika sherehe
hizo Jeriko alisema “hii inamaanisha kuwa nina marafiki wengi sana hapa ndani
ya michezo hii. Lakini ni kitu gani bora zaidi ambacho ninaweza kufurahia usiku
huu kuliko miaka yote iliyo pita ?” Jericho aliiambia Wwe .com. vilevile
aliendelea kuiambia Wwe.com kuwa “ marafiki zangu ka Don Callis a.ka. wwe the
Jacky hakuweza huwa tangia mwaka 1996 au
1997 na had sasa ni miaka 10 imepita lakini pia rafiki yangu Len Olsen a.k.a “Luscious”
hakuweza kuwepo hapa kwahiyo nawaitaji wao safu ya mbele kwasababu hii
inamaanisha kitu kwangu”.
Marafiki zake kutoka Canada:
![]() |
Wwe superstar chris jericho(wa pili kutoka kulia) akiwa na marafiki zake kutoka canada ambao walimsindikza katika sherehe za miaka 25 ya Jericho ndani ya michezo ya burudani za mieleka. |
“Sitoweza kupata tena usiku kama huu”
alisema Jericho alipo kuwa akiwashukuli wote walio hudhulia katika sherehe hizo.
No comments:
Post a Comment