Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney amekutana
“FACE2FACE” Yaani Uso kwa Uso kwa kumchapa kibao nyota wa Mieleka Wade Barrett,
mwenye urefu wa futi sita na nchi saba Mita 2.0066 mbele ya mashabiki katika
uwanja wa WWE.
Rooney alifikia uamuzi huo baada ya kukashfiwa na
mwanamichezo huyo mbele ya mwanae Kai Rooney, mcheza mieleka huyo Wade Barrett,
mwenye urefu wa futi sita na nchi saba (mita 2.0066) alidaiwa kumkosea adabu
nyota huyo wa soka England.
![]() |
Mwanamieleka, wade Barrett (kushoto) akikunja uso baada ya kuchapwa kibao na Mwanasoka Wayne Rooney, (kulia). |
Rooney alieleza
kukerwa na kitendo cha Barrett kumkashfu hadharani akitumia kipaza sauti, huku
mwana mieleka huyo mzaliwa wa Lancas Hire alitwaa kipaza sauti na kusema.
![]() |
Mwanasoka wa timu ya Manchester united Wayne Rooney (kushoto) na Mwanamieleka Wade Barrett. |
“Mbele yenu kuna watu wawili mnao weza kuwaita mashujaa ni
nani zaidi kati ya Wayne Rooney na Manchester united, huku Bennett akimtuhumu
Rooney kwa kujiangusha uwanjani wakati wa mechi ya kombe la FA dhidi ya preston
North End.
ukitaka video links hapa uone jinsi kilicho tokea baada ya Barrett kuchapwa kibao.
http://www.wwe.com/videos/king-barrett-hunts-for-wayne-rooney-at-old-trafford- november-10-2015-28193399
ukitaka video links hapa uone jinsi kilicho tokea baada ya Barrett kuchapwa kibao.
http://www.wwe.com/videos/king-barrett-hunts-for-wayne-rooney-at-old-trafford- november-10-2015-28193399
Rooney aliudhulia onyesho hilo akiongozana na rafiki yake
Ryan Giggs ambaye kwa sasa ni kocha msaidizi wa Man united na mchezaji mwenzake
aliyeko West Bromwvich, Darren Fletcher, huku kwa pamoja watatu hao walionekana
kucheka na kufurahi wakiwa na mabingwa wa zamani wa mieleka wa WWE, kama John
Bradfield na Layfield.
Muda mfupi baadae hali ya hewa ilibadilika baada ya Rooney
kukaa na motto wake kai mwenye miaka sita baada ya Barrett kumdhihaki huku
akiendelea kumdhihaki Ndipo mshambuliaji huyo akimzungumzia motto wake huku
akidai hakufurahishwa akiopna akiwa amekaa kiti cha mbele, ndipo Rooney alipo
nyanyuka na kumwendea Mwanamieleka huyo na kukabiliana nae ambapo alimpiga kofi
usoni.
Lkini picha za marudio za video zili muonyesha Barrett ambae
aliwahipia kuwa Bondia akimuendea Rooney na kuanza kumshambulia kitendo kilcho
jibiwa na mwanasoka huyo udhalilishaji wa wazi.
No comments:
Post a Comment