Hii ni sherehe ya kawaida kwake ambapo ilifanyika nyumbani
kwake yeye mwenyewe Floyd Mayweather huku akizungukwa na wacheza dansi wa kike,
naye akirusha note hewani za pesa, Milionea huyo alionekana kufurahia maisha
yake ya kustaafu Ndondi.
![]() |
Floyd Maywether akiwa Team noney. |
Bondia huyo asiye pigika alirusha hewani noti za dola za
malekani huku furaha yake ikipambwa na marafiki zake ambao waliuzulia sherehe
hiyo huku yeye akisema.
“ni sherehe ya kawaida kwangu saa 11:16 alfajiri maisha yangu
ni matamu aliandika katika ukrasa wake wa Instagramjana.
Mtu wangu wa Face2face kama unakumbuka bondia huyo alistaafu
Masumbwi baada ya pambano lake lililopita lakni bado anashawishiwa kurejea
stejini kumkabiri Andrea B erto, ambaye amepania kuharibu rekodi yake ya Mataji
49-0 mjini Las Vegas hii si mara ya kwanza kwa Mayweather, kuchafua jamii kwa
mtindo huo kwani Mwaka jana mwana masumbwi huyo mtata aliwaita madensa hao
nyumbani kwake na kuporomosha bonge la Party kwa mtindo huo huo.
Lakini pia mkari huyo wa ndondi amekuwa akijirusha kwa
sherehe mbalimbali zisizo za kikomona Team yake ya Pesa (money Team), tangu
atangaze kustaafu huku akifika hatua ya kubeba fuko la fedha na kwenda nalo
hadi klabu ya usiku ya Miani ya Marekani mwezi uliopita.
No comments:
Post a Comment